2:11
2:11
Policy version: pending
Prompt:
Kila siku twapatana na shida shida shida za dunia lakini twajua kwamba siku moja zitakoma (lakini)adui ameshapanda mbegu zake kwa walio wema mara nyingi anafurahi kuwapotosha walio wema*2 Tutaumia mpaka lini bwana bwana tunateseka tuvumilie mpaka lini bwana bwana urudi upesi*2 Atakaposhuka bwana toka jùu mawinguni tutamlaki bwana kwa furaha na nderemo(sumbuko)masumbuko yatakoma siku hiyo duniani tutaandamana tukiimba juu hossana*2