2:15
2:15
Policy version: pending
Prompt:
[Verse 1] [solo baritone male vocals] Yamenishinda ya kwenu Temeke Nimepata habari mimi raha zipo Sinza Yamenishinda ya kwenu Temeke eh Nimepata habari mimi raha zipo Sinza [Verse 2] Huku kwetu Majanga Tunashindana viwanja Hakuna maendeleo wanajipizana kwa kanga [Verse 3] [vocal melody repeats with slight variation] Yamenishinda ya kwenu Temeke eh Nimepata habari mimi raha zipo Sinza [Verse 4] Huku kwetu Majanga Wanashindana viwanja Hakuna maendeleo wanajipizana na kanga Wale wajanja toto wa mjini wanapatikana Sinza [vocal melisma] (aaaah) [Verse 5] Huku kwenu Temeke Mbona maseke Habari ya mjini utaipata Sinza Huku kwenu Temeke Mbona maseke Habari ya mjini utaipata Sinza [Chorus] Yamenishinda ya kwenu Temeke Nimepata habari mimi raha zipo Sinza Yamenishinda ya kwenu Kiwalani Nimepata habari mimi raha zipo Sinza [Outro] Zipo Sinza Raha zipo Sinza Zipo Sinza Raha zipo Sinza Zipo Sinza [vocal melisma] (aaaaah)